Akifuatilia posti yake kuhusu “ujinga wa kupunguza bajeti kwa Chuo cha Bahamas”, Blogworld anasema:
Si tu kwamba chuo hicho ni taasisi ya taifa ya elimu ya juu, lakini ndio taasisi pekee ya umma kwa wenyeji ambayo inahusiana na aina yoyote ya utafiti unaoendelea katika nchi ya Bahama.