- Global Voices in Swahili - https://sw.globalvoices.org -

Robert Antoni Ashinda Tuzo ya Boca 2014 ya Fasihi ya ‘Caribbean’

Mada za Habari: Nchi za Caribiani, Trinidad na Tobago, Fasihi, Uandishi wa Habari za Kiraia, Vyombo na Uandishi wa Habari

Mwanablogu wa Jamaika aishiye ughaibuni Geoffrey Philp anataarifu [1] kuwa Robert Antoni, mwandishi wa kitabu cha “As Flies to Whatless Boys”, ameshinda Tuzo ya One Caribbean Media Bocas 2014 kwa Fasihi ya Nchi za ‘Caribbean’ wakati blogu ya ‘Repeating Islands’ ikichapisha pitio la kitabu riwaya yake hapa [2].