Tovuti ya PRODAVINCI inachapisha picha nne [1] za Andrés Kerese zilizopigwa wakati wa maandamano yaliyotokea Chacao [2], moja ya mitaa ya wilaya ya Caracas, Jumanne, Aprili 1, 2014.
PICHA: Maandamano mjini Caracas, Aprili 1
· Imeandikwa na Gabriela García Calderón Orbe (en) imetafsiriwa na Gabriela García Calderón, Mghosya
Mada za Habari: Amerika Kusini, Venezuela, Maandamano, Uandishi wa Habari za Kiraia