- Global Voices in Swahili - https://sw.globalvoices.org -

Niger Yapata Kituo Chake cha Kwanza cha Reli Baada ya Kusubiri kwa Miaka 80

Mada za Habari: Afrika Kusini mwa Jangwa la Sahara, Benin, Burkina Faso, Cote d'Ivoire, Naija, Habari Njema, Habari za Hivi Punde, Habari za Wafanyakazi, Historia, Maendeleo, Mahusiano ya Kimataifa, Uandishi wa Habari za Kiraia, Uchumi na Biashara

Aprili 7, Niger ilizindua katika mji mkuu wa Niamey kituo chake cha kwanza cha treni kuwahi [1] [fr]. Mamlaka tayari ilikuwa na makadirio ya ujenzi wa kituo cha treni miaka 80 iliyopita lakini mradi kamwe haukuanzishwa. Tukio hilo litaanzisha ujenzi wa reli kati ya Niger, Benin, Burkina Faso na Côte d'Ivoire [2]. Mtumiaji Twita Tanoussou katika Niamey aliweka picha kwenye mtandao ya kituo hicho cha reli:

 

Photos postsVideo posts