- Global Voices in Swahili - https://sw.globalvoices.org -

Mazungumzo ya GV: Moja kwa Moja kutoka Kombe la Dunia la Mtandaoni

Mada za Habari: Amerika Kusini, Brazil, Harakati za Mtandaoni, Teknolojia, Uandishi wa Habari za Kiraia, Uhuru wa Kujieleza, GV Face

Mazungumzo ya GV juma hili yanakujia moja kwa moja kutoka São Paulo, Brazil mahali ambapo wawakilishi wa serikali, vyama vya kiraia na mashirika wamekusanyika kutoka duniani kote wiki hii katika kituo cha mkutano cha NETMundial [1] ili kutengeneza ‘mwongozo’ wa utawala wa kidunia wa mtandao wa intaneti katika kipindi hiki cha baada ya sakata la [Edward] Snowden.

Ellery Biddle wa Global Voices Utetezi [2] anaungana na Marianne Diaz [3] na Ben Wagner [4].