IGF Japan, hatua ya maendeleo nchini Japani ya Jukwaa la Utawala Mtandao, ambapo watu wanaojihusisha mtandaoni huja pamoja kujadili changamoto za utawala wa mtandao, ulifanyika Machi 14, 2014 katika chuo kikuu cha Aoyama Gakuin. Vikao vitajadili mada kama vile data binafsi na faragha, kujitokeza kwa tovuti za hali ya juu nchini Japan, na mwenendo wa mtandao wa kimataifa.
Jiunge na IGF Japan Kujadili Utawala wa Mtandao
· Imeandikwa na Keiko Tanaka Imetafsiriwa na Joyce Maina
Mada za Habari: Asia Mashariki, Japan, Harakati za Mtandaoni, Mahusiano ya Kimataifa, Siasa, Teknolojia, Uandishi wa Habari za Kiraia, Utawala