- Global Voices in Swahili - https://sw.globalvoices.org -

Hedhi Sio Siri ya Aibu. Tuzungumzie Siku Zetu kwa Uwazi

Mada za Habari: Asia ya Kusini, India, Afya, Maandamano, Mawazo, Uandishi wa Habari za Kiraia, Wanawake na Jinsia

“Kwa nini wanawake hawapendi kuzungumzia hedhi?”

anauliza Sourav Kumar Panda kwenye tovuti ya Youth Ki Awaaz na anaendelea kujadili/a> kuwa kwenye siku hizi na zama za leo, kuendelea kuifanya hedhi kuwa suala la kuficha haina maana -wakati umefika kwetu kuvunja kimya na kuacha woga wa mila za jamii zetu kuhusiana na siku zetu.