- Global Voices in Swahili - https://sw.globalvoices.org -

Hadhi ya Wanawake Katika Jamii ya Kihindi Leo

Mada za Habari: Asia ya Kusini, India, Haki za Binadamu, Uandishi wa Habari za Kiraia, Wanawake na Jinsia

Transhuman Collective (THC) [1], mwanafunzi aliyepikwa na Soham Sarcar & Snehali Shah, ni mradi wa taaluma shirikishi unaongozwa na falsafa yaTranshumanism. Katika video hii iliyotengenezwa na kupandishwa kwenye mtandao wa YouTube [2] na Transhumanism inaonyesha kuwa kunakosekana heshima ya msingi kwa wanawake katika jamii ya Kihindi iliyokithiri mfumo dume. Video hii inachangia kwa kiasi kikubwa kubadili fikra na mitazamo ya jamii ya Wahindi.