- Global Voices in Swahili - https://sw.globalvoices.org -

Gazeti la Kifaransa Lachapisha Chati Inayoonyesha Mataifa Yanayoongoza kwa Uhalifu

Mada za Habari: Ulaya Magharibi, Ufaransa, Habari za Hivi Punde, Harakati za Mtandaoni, Uandishi wa Habari za Kiraia, Ubaguzi wa Rangi, Vyombo na Uandishi wa Habari

Gazeti la Le Progrès la jijini Lyon, Ufaransa ilichapisha chati [1] [fr] yenye jina la “”Délinquance : à chacun sa spécialité – principales nationalités impliquées” (Uhalifu: Mataifa yanayohusishwa zaidi na [kila aina ya uhalifu]) (Ona picha katika mtandao wa twita hapa chini):

Katika machapisho yake ya kila siku, gazeti la Le Progres ilithubutu kuchapisha ulinganisho wa viwango vya uhalifu katika mataifa mbalimbali

Thibeau Perezat anabainisha kuwa gazeti hilo hata hivyo halikutaja vyanzo vya [4] takwimu hizo. Mchangiaji wa Global Voices Julie Owono alisema kwamba gazeti lilishindwa kutofautisha kuwa “Waafrika” au “Roma” si mataifa.