- Global Voices in Swahili - https://sw.globalvoices.org -

Changamoto ya Kuhuisha Orodha ya Wapiga Kura

Mada za Habari: Asia ya Kusini, India, Uandishi wa Habari za Kiraia, Uchaguzi, Utawala

Uchaguzi mkubwa zaidi duniani [1] uko mbioni nchini India na mwanablogu Anuradha Shankar [2] kwenye blogu yake ya “A Wandering Mind” anabainisha changangamoto halisi za kuboresha daftari la wapiga kura tayari kwa matumizi.