Habari kutoka 29 Aprili 2014
Hadhi ya Wanawake Katika Jamii ya Kihindi Leo
Transhuman Collective (THC), mwanafunzi aliyepikwa na Soham Sarcar & Snehali Shah, ni mradi wa taaluma shirikishi unaongozwa na falsafa yaTranshumanism. Katika video hii iliyotengenezwa na kupandishwa kwenye mtandao wa YouTube na Transhumanism inaonyesha kuwa kunakosekana heshima ya msingi kwa wanawake katika jamii ya Kihindi iliyokithiri mfumo dume. Video hii inachangia...
Bob Marley – Ni Mungu Mpya wa Vijana wa Bhutan?
Bob Marley ghafla amegeuka mungu miongoni mwa kizazi kilichochanganyikiwa. bendera ya Rastafari, ikiwa na ama Bob mwenyewe au jani la bangi, inapatikana kokote. Kwa mtu aliyekufa mwaka 1981 na kuendelea kutawala akili za watoto wanaonekana kuwa na akili tena wa karne ya 21 ni jambo gumu kuamini. Passang Tshering, Mwanablogu...
Changamoto ya Kuhuisha Orodha ya Wapiga Kura
Uchaguzi mkubwa zaidi duniani uko mbioni nchini India na mwanablogu Anuradha Shankar kwenye blogu yake ya “A Wandering Mind” anabainisha changangamoto halisi za kuboresha daftari la wapiga kura tayari kwa matumizi.
Kupotea kwa Ndege ya MH370: Waziri Mkuu wa Australia Ajichanganya
Waziri Mkuu wa Australia Tony Abbott anazungumza kuhusu zoezi la utafutaji wa ndege ya shirika la ndege la Malaysia MH370.