11 Aprili 2014

Habari kutoka 11 Aprili 2014

Mgogoro Usiopewa Uzito Stahiki Nchini Burundi

Wakati nchi jirani ya Rwanda inagonga vichwa vya habari na maadhimisho ya mauaji ya kimbari ya mwaka wa 1994 na kuongezeka kwa mvutano na Ufaransa,...

Tetemeko la Ardhi la Ukubwa wa 6.2 Latokea Nchini Nicaragua

Tetemeko la ardhi lenye nguvu ukubwa wa 6.1 lilitokea Nicaragua mnamo Alhamisi Aprili 10, 2014. Kulikuwa na taarifa [es] za watu kujeruhiwa na kuanguka kwa...

Niger Yapata Kituo Chake cha Kwanza cha Reli Baada ya Kusubiri kwa Miaka 80

Aprili 7, Niger ilizindua katika mji mkuu wa Niamey kituo chake cha kwanza cha treni kuwahi  [fr]. Mamlaka tayari ilikuwa na makadirio ya ujenzi wa...

Video Inayoonyesha jinsi Marekani Iliangusha Mabomu ya Tani Milioni 2.5 Nchini Laos

Mother Jones alipakia video ambayo inaiga utupaji mabomu 600 uliofanywa na Marekani nchini Laos kati ya mwaka wa 1965 hadi 1973 wakati wa zama za...