Habari kutoka 2 Aprili 2014
VIDEO: Wimbo wa ‘Furaha’ wa Pharrell Williams na Taswira Halisi ya El Salvador
Wananchi wa Salvador wametengeneza toleo lao la wimbo “Happy” [furaha] ulioimbwa na Pharrell Williams. Mwanablogu Mildred Largaespada anaisifu video hiyo kwenye ukurasa wake wa Facebook [es]: ni nzuri. Na ndiyo,...
Urabuni: Hijab na Ubaguzi wa Kimagharibi
Mwanablogu wa Mirsi Nadia El Awady anaandika posti ya blogu yake ambapo anahoji kama wanawake wanaovaa Hijabu wanabaduliwa kwenye nchi za magharibi ama la. Nadia, kama Mmisri alikulia Marekani na...
Siku ya Wajinga: Waislamu Hawaruhusiwi Kudanganya Kamwe
Pamoja na maonyo, kwamba kufuata mkumbo wa Siku ya Wajinga Duniani kidini adhabu yake ni moto wa milele, watumiaji wa mitandao Uarabuni, waliitumia siku hii kuzikosoa serikali zao.
Tetemeko Kubwa Laitikisa Chile Kaskazini, Lafuatiwa na Tahadhari ya Tsunami
Tetemeko kubwa lenye vipimo vya 8.2 limeikumba Chile kaskazini saa 2:46 na kusababisha tahadhari ya tsunami nchini kote.