- Global Voices in Swahili - https://sw.globalvoices.org -

Watumiaji wa Huduma ya Tor Waongezeka Nchini Uturuki

Mada za Habari: Mashariki ya Kati na Afrika Kaskazini, Uturuki, Harakati za Mtandaoni, Uandishi wa Habari za Kiraia, Uhuru wa Kujieleza

Mtetezi wa haki za binadamu na maadili Frederic Jacobs anabainisha kuwa idadi ya watu wanaotumia huduma ya Tor imeongezeka nchini Uturuki:

Uturuki ndio kwanza imeufunga [3] mtandao wa Twita.