- Global Voices in Swahili - https://sw.globalvoices.org -

Trinidad na Tobago: Kati ya Serikali Mbili

Mada za Habari: Nchi za Caribiani, Trinidad na Tobago, Siasa, Uandishi wa Habari za Kiraia, Uchumi na Biashara, Utawala

Katika mukhtadha wa idadi na ukubwa wa miradi inayotekelezwa kwa kupitia mipango ya serikali ya nchi hiyo, Afra Raymond [1] anaeleza kwa nini ushirika wa kiwango cha juu unaoonyeshwa hivi sasa na Trinidad na Tobago kwa China ni “suala nyeti linalostahili tafakuri ya kina.”