- Global Voices in Swahili - https://sw.globalvoices.org -

Saudi Arabia Inadhibiti Majina ya Watoto

Mada za Habari: Mashariki ya Kati na Afrika Kaskazini, Saudi Arabia, Haki za Binadamu, Uandishi wa Habari za Kiraia, Utawala

Huruhusiwi kumwita mwanao wa kike majina kama Eman, au Sandy, au Yara. Na kama ni mvulana, majina kama Abdelnasser, Amir au Abdulmoeen hayaruhisiwi. Lakini hiyo si Saudi Arabia pekee. Kwenye mtandao wa twita, Iyad El Baghdadi anaorodhesha majina ya watoto yaliyopigwa marufuku kabisa kwenye ufalme huo:

Orodha ya majina yaliyopigwa marufuku Saudi Arabia ni pamoja na Abdulnasser, Amir, Maya, Linda, Sandy, Loren, Benjamin, Yara, Eman.

Na kuna picha muhuAnd there is a photograph of an officially stamped list to go with this notice.