- Global Voices in Swahili - https://sw.globalvoices.org -

Ndoa ya Kwanza ya Mashoga Hadharani Nchini Myanmar

Mada za Habari: Asia Mashariki, Myanmar (Burma), Habari Njema, Haki za Mashoga, Uandishi wa Habari za Kiraia, Vijana
Myo Min Htet and Tin Ko Ko marry as the first public gay couple in Yangon, Myanmar. Photo by Thet Htoo, Copyright @Demotix (3/2/2014) [1]

Myo Min Htet na Tin Ko Ko wakifunga ndoa na kuwa wenzi wa kwanza mashoga kufunga ndoa hadharani eneo la Yangon, Myanmar. Picha ya Thet Htoo, Hakimiliki @Demotix (3/2/2014)