- Global Voices in Swahili - https://sw.globalvoices.org -

Mwongozo wa Kilimo cha Uyoga Nchini Kenya

Mada za Habari: Afrika Kusini mwa Jangwa la Sahara, Kenya, Chakula, Uandishi wa Habari za Kiraia

Huu ni mwongozo hatua kwa hatua [1] wa kilimo cha uyoga nchini Kenya:

Kutokana na mahitaji ya umma, sisi tulichukua mpango wa kuandaa mwongozo wa kusaidia wakulima wenye nia ya kuanzisha kilimo cha uyoga nchini Kenya

Mchakato wa kilimo cha uyoga waweza kugawanywa katika hatua kadhaa zifuatazo

1.Maandalizi ya mbolea

2.kutawanya mbegu/kupanda

3.kuweka kwenye makopo

4.ukuaji/matunda na kuvuna