- Global Voices in Swahili - https://sw.globalvoices.org -

Maombi ya Mtandao wa WeChat na ‘Self-Media’ kwa Raia wa China

Mada za Habari: Asia Mashariki, China, Teknolojia, Uandishi wa Habari za Kiraia, Uhuru wa Kujieleza, Vijana, Vyombo na Uandishi wa Habari

Mitandao ya Tencent [1]’s WeChat [2], huduma ya ujumbe binafsi kwa namna fulani imechukua nafasi ya mtandao unaofanana kidogo na Twita uuitwao Sina Weibo kama chombo kinachoongoza kwa mawasiliano mbadala. Mtandao wa Tea Leaf Nation  umeelezea maombi ya mtandao wa WeChat na “self-media” kwa ujumla/a> kwa kizazi cha Wachina vijana, na maana ya  hatua yake ya dharura/a>.