- Global Voices in Swahili - https://sw.globalvoices.org -

Je, Sheria Mpya ya Ubakaji India Inawasaidia Wanawake?

Mada za Habari: Asia ya Kusini, India, Haki za Binadamu, Sheria, Uandishi wa Habari za Kiraia, Wanawake na Jinsia

Tumepata sheria ambayo inaelekeza kuadhibu ubakaji, na ambayo imebanua tafsiri ya ubakaji na kujumuisha watu wengi zaidi – wakati tatizo kubwa lilikuwa kwamba watu waliokuwa wanabakwa kwa mujibu wa tafsiri na adhabu za zamani hawakuwa wanatendewa haki katika nchi ambayo kuna ubakaji kw akila dakika saba, lakini hakuna hata tukio moja la ubakaji linahukumiwa.

Vidyut [1] katika blogu ya AamJanata anauliza ikiwa sheria mpya ya ubakaji nchini India inawasaidia wanawake.