Habari kutoka 31 Machi 2014
Mwanamke wa Misri: “Funga Mdomo Wako Obama!”
Tazama video hii ya mwanamke wa Kimisri akimwomba Rais wa marekani Barak Obama 'kufunga mdomo wake' ambayo inasambaa mtandaoni.
Mkuu wa Upelelezi wa Jeshi la Sudani Kusini Akana Jaribio Mapinduzi ya Kijeshi
Mkuu wa upelelezi wa jeshi nchini Sudani Kusini amekana kuwa kulikuwa na jaribio la mapinduzi ya kijeshi tarehe 15 Desemba, 2013. PaanLuel Wel anaripoti: Taarifa kutoka Juba zinasema mkuu wa upelelezo wa jeshi, Jenerali Mac Paul Kuol Awar, ametupilia mbali madai ya jaribio la kijeshi la Desemba 15, 2013. Mac...