Habari kutoka 24 Machi 2014
Watumiaji wa Huduma ya Tor Waongezeka Nchini Uturuki
Mtetezi wa haki za binadamu na maadili Frederic Jacobs anabainisha kuwa idadi ya watu wanaotumia huduma ya Tor imeongezeka nchini Uturuki: Matumizi ya huduma ya Tor yako juu. Watu. > 35...
Erdogan Aapa “Kuifutilia Mbali” Twita Nchini Uturuki
Uturuki imeufunga mtandao wa Twita -sambamba na huduma ya Google ya DSN, ilitumika kupata huduma hiyo ikiwa imefungwa. Inaonekana, hata hivyo, kuwa mpango wa serikali ya Uturuki wa kudhibiti watu unakutana na mipango mbadala ya raia kuendelea kutwiti.
Saudi Arabia Inadhibiti Majina ya Watoto
Huruhusiwi kumwita mwanao wa kike majina kama Eman, au Sandy, au Yara. Na kama ni mvulana, majina kama Abdelnasser, Amir au Abdulmoeen hayaruhisiwi. Lakini hiyo si Saudi Arabia pekee. Kwenye...
Katika Kutetea Lugha za Malawi
Kufuatia uamuzi wa serikali ya Malawi kuanza kutumia Kiingereza kama lugha ya mawasiliano kuanzia darasa la kwanza, Steve Sharra anatetea lugha la asili na anajenga hoja yake katika kutetea matumizi...