7 Machi 2014

Habari kutoka 7 Machi 2014

Mazungumzo ya GV: Kipi Kinafuata Nchini Ukraine?

  7 Machi 2014

Kipi kinafuata kwenye vuguvugu la maaandamano ya Ukraine? Maandamano na umwagaji damu ulisababisha kung'oka kwa rais anayetuhumiwa kuwa fisadi. Lakini sasa, wakati Urusi ikijiandaa kijeshi na Crimea ikifikiria kujitenga, yapo maswali mengi yasiyoisha kuhusu mustakabali wa kisiasa nchini Ukraine pamoja na uhusiano wake na Umoja wa Ulaya.

Mwongozo wa Kilimo cha Uyoga Nchini Kenya

Huu ni mwongozo hatua kwa hatua wa kilimo cha uyoga nchini Kenya: Kutokana na mahitaji ya umma, sisi tulichukua mpango wa kuandaa mwongozo wa kusaidia wakulima wenye nia ya kuanzisha kilimo cha uyoga nchini Kenya Mchakato wa kilimo cha uyoga waweza kugawanywa katika hatua kadhaa zifuatazo 1.Maandalizi ya mbolea 2.kutawanya...

Pigia kura Blogu ya Kenya Uipendayo

Zoezi la upigaji kura limeanza kwa ajili ya Tuzo za Blogu nchini Kenya kwa mwaka 2014: Chama cha wanablogu wa Kenya (BAKE) hii leo [3 Machi 2013] kilizindua zoezi la kupendekeza majina ya wawaniaji wa tuzo hizo za wanablogu wa Kenya mwaka huu. Tuzo hizo hutolewa kwa wanablogu waandikao maudhui...