- Global Voices in Swahili - https://sw.globalvoices.org -

Tafakuri kwenye Mkutano Mkubwa Zaidi wa Blogu Nchini India

Mada za Habari: Asia ya Kusini, India, Harakati za Mtandaoni, Teknolojia, Uandishi wa Habari za Kiraia, Vyombo na Uandishi wa Habari

#WIN14 [1], mkutano mkubwa zaidi na tuzo zinazoongoza nchini India, unaoandaliwa na BlogAdda, ulifanyika Februari 89, 2014. Mwanablogu Dk. Roshan Radhakrishnan [2], aliyeshinda tuzo ya blogu bora ya uandishi wa ubunifu [3] nchini India, anatoa maoni na picha zake.