- Global Voices in Swahili - https://sw.globalvoices.org -

Rais Yanukovych wa Ukraine ang'olewa madarakani

Mada za Habari: Ukraine, Habari za Hivi Punde, Haki za Binadamu, Maandamano, Mahusiano ya Kimataifa, Siasa, Uandishi wa Habari za Kiraia, Uchaguzi, Utawala

Baada ya maandamano, vurugu na upinzani dhidi ya serikali uliosababisha vifo vya watu wapatao 100, Bunge la Ukraine hatimaye limepiga kura ya kumwondoa Rais Viktor Yanukovych kama hatua ya kujibu shinikizo la waandamanaji.

Tayari Rais Yanukovych amenukuliwa akisema hana mpango wa kutoroka nchi.

Soma zaidi kupitia kiungo hiki [1] [en]