- Global Voices in Swahili - https://sw.globalvoices.org -

Orodha ya Waliouawa Katika Maandamano ya Venezuela Yapatikana kwa Lugha Tano

Mada za Habari: Amerika Kusini, Venezuela, Lugha, Maandamano, Uandishi wa Habari za Kiraia, Vita na Migogoro

Katika blogu ya Panfleto Negro [1][es], John Manuel Silva na Emiliana Duarte wanafuatilia orodha ya vifo vilivyotokea kufuatia maandamano [2] yanayoendelea nchini Venezuela. Orodha hiyo -ambayo awali ilikuwa kwa lugha ya Kihispania-imetafsiriwa kwenda lugha ya Kiingereza [3], Kijerumani [4], Kiitaliano/a> na Kifaransa [5].