- Global Voices in Swahili - https://sw.globalvoices.org -

Mbinu za Uvuvi Endelevu kwa Wavuvi wa Dhivehi

Mada za Habari: Asia ya Kusini, Maldives, Chakula, Mazingira, Uandishi wa Habari za Kiraia, Uchumi na Biashara

Mwanablogu wa MaldiviHani Amir [1] anaandika kuhusu mbinu za uvuvi asilia ikiwa ni pamoja na kukamata mamia ya samaki kwa mikono yao, badala ya kutumia nyavu au fimbo. Mwanablogu huyo pia anatoa mwangaza kuhusu namna wanavyonnyonywa na wamiliki walafi wa hoteli wnaojaribu kuwaibia kwa kutokuwalipa kile wanachostahili.