Habari kutoka 27 Februari 2014
Nyumba ya Kiongozi wa Upinzani Nchini Zimbabwe, Tendai Biti Yalipuliwa Mara ya Pili
Biti ni katibu mkuu wa chama cha Upinzani cha MDC [Movement for Democratic Change], kinachoongozwa na Waziri Mkuu wa zamani Morgan Tsvangirai.
Pakistan, Usiingilie Vita vya Ndani ya Syria
Siku moja baada ya dondoo ndogo ya habari yenye kichwa cha habari, “Saudi Arabia ‘inatafuta uungwaji mkono kwa waasi wa” ilipoonekana kwenye magazeti ya Pakistani, mwanablogu wa siasa Ahsan Butt...
Picha Mpya ya Korea Kaskazini ya Shirika la Anga la Marekani
Wasomaji wa kimataifa wanaofuatilia masuala ya Korea Kaskazini labda wangekutana angalau mara moja na picha hii maarufu ya rasi ya Korea kutoka Shirika la Anga la Marekani (NASA) kuonesha tofauti kubwa ya...