Habari kutoka 24 Februari 2014
Venezuela Nitakayoikumbuka Daima
Raia wa Peru Gabriela Garcia Calderón anaikumbuka Venezuela ya miaka ya 1990, nchi tofauti kabisa na ile inayoonekana kwenye vichwa vya habari katika siku hizi za hivi karibuni.
Rais Yanukovych wa Ukraine ang'olewa madarakani
Baada ya maandamano, vurugu na upinzani dhidi ya serikali uliosababisha vifo vya watu wapatao 100, Bunge la Ukraine hatimaye limepiga kura ya kumwondoa Rais Viktor Yanukovych kama hatua ya kujibu...
Upasuaji wa Kwanza wa Moyo Kongo Brazzaville
Mtandao wa kimataifa wa Afya La Chaîne de l’Espoir (Maana yake Kiungo cha Matumaini) unaripoti kuwa watoto saba wa ki-Kongo waliokuwa na hali mbaya wamenufaika na upasuaji wa moyo [fr]...
Wavenezuela Waishio Mexico Wawambia Waandamanaji: “Hamko Pekeyenu”
Hali ya mambo nchini Venezuela yaendelea kuzorota, huku pakiwa na maandamano na mikusanyiko nchi nzima ayalisababisha vifo vya watu kumi na mamia kujeruhiwa mpaka sasa. Wavenezuela duniani kote wanaopinga serikali...
Vyombo Vikuu vya Habari Vyaihujumu Facebook
Mwanablogu wa Teknolojia Amitha Amarasinghe anadai kwamba mtandao wa Facebook unapewa taswira hasi na vyombo vikuu vya habari nchini Sri Lanka kwa vichwa vya habari kama “Mwanafunzi ajiua shauri ya...