Habari kutoka 4 Februari 2014
PICHA: Raia wa Costa Rica Waishio Nje ya Nchi Wapata Fursa ya Kupiga Kura
Huu ni uchaguzi wa kwanza wa Urais ambapo imewezekana watu walio nje ya nchi kuweza kupiga kura. Kutoka maeneo mbalimbali ya Dunia, raia wa Costa Rica wamekuwa wakitumia mtandao wa Twita kutaarifu kuhusiana na kupiga kwao kura.