- Global Voices in Swahili - https://sw.globalvoices.org -

Wa-China Wametafuta Nini Zaidi Mtandaoni mwaka 2013

Mada za Habari: Asia Mashariki, China, Teknolojia, Uandishi wa Habari za Kiraia

Mtandao wa kutafutia habari mtandaoni nchini China uitwao Baidu umetoa orodha ya maneno yaliyotumika zaidi kusaka habari. Orodha ya maneno kumi yaliyotumika zaidi ni kama ifuatavyo:

  1. Hali ya Hewa
  2. Taobao [1] (tovuti ya kufanyia manunuzi ya mtandaoni nchini China)
  3. Wu Dong Qian Kun (kitabu cha mtandaoni cha Li Hu)
  4. The Tang Door  (kitabu cha mtandaoni)
  5. Mang Huang Ji (kitabu cha mtandaoni)
  6. Zhe Tian (kitabu cha mtandaoni)
  7. Double Chromosphere (Mchezo wa kamari wa Kichina)
  8. Baidu (!)
  9. Da Zhu Zai (kitabu cha mtandaoni)
  10. Qzone (a new mtandao wa kijamii [2] from Tencent)

Kwa orodha kamili, fuatilia mtandao wa  China Internet Watch [3].