- Global Voices in Swahili - https://sw.globalvoices.org -

Trinidad & Tobago: Mambo Madogo Yaweza Kuleta Utofauti

Mada za Habari: Nchi za Caribiani, Trinidad na Tobago, Mawazo, Mazingira, Uandishi wa Habari za Kiraia, Vyombo na Uandishi wa Habari

ban-d-wagonist [1] aweka video yenye “maoni rahisi ya namna ambavyo raia wa kawaida wanavyoweza kuijenga Trinidad na Tobago yenye mafanikio.”