- Global Voices in Swahili - https://sw.globalvoices.org -

Misri: Picha 27 kutoka Hala'ib

Mada za Habari: Mashariki ya Kati na Afrika Kaskazini, Misri, Uandishi wa Habari za Kiraia, Upiga Picha

Mwanablogu Mmisri, Zeinobia, amesambaza onyesho hili [1]la picha kutoka Hala'ib [2], bandari na mji katika mwambao wa Bahari ya Shamu, kwenye Pembetatu ya Hala'ib, karibu na mpaka wa Sudan: