- Global Voices in Swahili - https://sw.globalvoices.org -

Mandela 1918 – 2013

Mada za Habari: Uandishi wa Habari za Kiraia
Shared by @AttiehJoseph on Twitter [1]

Iliwkekwa kwenye mtandao wa twitter na @AttiehJoseph

Nelson Mandela, rais wa kwanza wa ki-Afrika wa Afrika Kusini aliyehusika kwa kiasi kikubwa kuutokomeza ubaguzi wa rangi nchini humo, amefariki Alhamisi, Desemba 5, 2013 akiwa na umri wa miaka 95. Mzalendo huyo aliyetokea kupendwa sana na mshindi wa Tuzo ya Amani ya Nobel, ambaye hujulikana pia kwa jina la Madiba, alitumikia kifungo cha miaka 27 jela kwa sababu ya harakati zake za kisiasa wakati wa utawala wa makaburu nchini humo kabla hajawa rais.

Habari za Dunia
Busara 17 za Nelson Mandela ambazo kila mtu anahitaji kuzijua [2]
Kwenye mtandao, Wimbo wa Maombolezo ya wa-Peru kwa Mandela [3]
Wa-Naijeria Wamkumbuka Nelson Mandela, “Funzo kwa Watu wote” [4]
Mwenyekiti Mao yu Mkuu kuliko Nelson Mandela, Wahafidhina wa ki-China wasema [5]
Caribbean: Kwa heri, Nelson Mandela [6]

Twiti za “#Mandela” [7]