- Global Voices in Swahili - https://sw.globalvoices.org -

Kuwa na Mabadiliko – Shiriki Habari za Harakati za Kiraia

Mada za Habari: Harakati za Mtandaoni, Mawazo, Uandishi wa Habari za Kiraia

Kuwa na Mabadiliko [1] ni tovuti mpya kwa hisani ya CIVICUS kwa watu kushiriki hadithi ya harakati zao wenyewe ili kuhamasisha wengine au kutafuta usaidizi.