- Global Voices in Swahili - https://sw.globalvoices.org -

China: Mashindano ya “Akina Mama Wanaotamanisha”

Mada za Habari: Asia Mashariki, China, Uandishi wa Habari za Kiraia, Wanawake na Jinsia

Sina Weibo, tovuti ya Kichina inayofanana na Twitta, imeandaa mashindano ya “Akina Mama Wanaotamanisha.” Picha za washindani zinaonyesha wazi kwamba wengi wao sio akina mama halisi. Hata hivyo, hizo picha zinatuambia mengi kuhusu uhusiano wa kijinsia nchini China. Soma mengine [1] kwenye tovuti ya Offbeat China.