Habari kutoka 9 Disemba 2013
Wanafunzi 3,000 Wafanya Maandamano dhidi ya Mageuzi ya Elimu Nchini Gabon
Mageuzi ya mfumo wa elimu yaliahirishwa [fr] nchini Gabon baada ya walimu na wanafunzi kuandamana pamoja kwa maandamano. Katika mapendekezo ya mageuzi, mitihani ya mwisho ili kupata diploma ya shule...
Urusi: Kupigwa Risasi Mgeni na Hisia za Wazi za Ubaguzi wa Rangi
Kitendo cha kijana mmoja kupigwa risasi Novemba 23, 2013 kwenye treni ya Moscow kimeibua mjadala mpya mtandaoni kuhusu harakati zenye msimamo mkali Urusi kubagua wahamiaji nchini humo.
Wanaijeria Wamkumbuka Nelson Mandela
Nelson Mandela, mzalendo mpendwa na mshindi wa tuzo ya Amani ya Nobel, amefariki Desemba 5, 2013. Wanaijeria wanakumbuka kumbumbuku iliyoachwa nyuma na Rais huyo wa kwanza wa Afrika Kusini