Habari kutoka 6 Disemba 2013
Misri: Kampeni kwa Ajili ya Haki za Watu Wenye Mahitaji Maalum
Wamisri pembezoni wenye mahitaji maalum wamekuwa wakifanya maandamano kwa haki zao kabla na tangu mapinduzi ya #Jan25. Hata hivyo, malalamiko yao bado hayajatatuliwa. Wakati Kamati ya watu 50 wanapiga kura...
Mandela 1918 – 2013
Nelson Mandela, rais wa kwanza wa ki-Afrika wa Afrika Kusini aliyehusika kwa kiasi kikubwa kuutokomeza ubaguzi wa rangi nchini humo, amefariki Alhamisi, Desemba 5, 2013 akiwa na umri wa miaka...