Habari kutoka 3 Disemba 2013
Taiwan: Maandamano Dhidi ya Sheria Juu ya Usawa Kwenye Ndoa
Wabunge wa Yuan nchini Taiwan walipitisha muswada wa kwanza ya “Usawa kwenye Ndoa“ [zh] mnamo Oktoba 25, 2013. Novemba 30, zaidi ya watu 300,000 walipinga muswada huu, hasa dhidi ya...