- Global Voices in Swahili - https://sw.globalvoices.org -

Wikipedia kwa Lugha ya Ki-Guarani

Mada za Habari: Amerika Kusini, Paraguai, Lugha, Teknolojia, Uandishi wa Habari za Kiraia

Mwaka huu, Wikipedia katika lugha ya Kihispaniola ilifikia makala milioni moja na kutolewa kwa mwongozo msingi wa mtumiaji katika lugha ya ki-Guarani. Wazo ni kufufua jamii ya wanaozungumza kiguarani katika jukwaa hili kubwa. Hadi sasa kuna makala 20 tu katika lugha hiyo.

[…]

Kama una nia ya kushirikiana na mradi huu, shusha mwongozo kwenye wikipedia katika lugha ya ki-Guarani [1]na kujiunga na jamii ya Vikipetã  [2]!

Maricarmen Sequera [3] anaandika kuhusu Wikipedia kwa ki-Guarani katika blogu ya Hallucina [4][es].