Mwaka huu, Wikipedia katika lugha ya Kihispaniola ilifikia makala milioni moja na kutolewa kwa mwongozo msingi wa mtumiaji katika lugha ya ki-Guarani. Wazo ni kufufua jamii ya wanaozungumza kiguarani katika jukwaa hili kubwa. Hadi sasa kuna makala 20 tu katika lugha hiyo.
[…]
Kama una nia ya kushirikiana na mradi huu, shusha mwongozo kwenye wikipedia katika lugha ya ki-Guarani na kujiunga na jamii ya Vikipetã !
Maricarmen Sequera anaandika kuhusu Wikipedia kwa ki-Guarani katika blogu ya Hallucina [es].