Uharibifu wa misikiti isiyopungua 11 katika miezi miwili iliyopita nchini Angola imechochea athari ya hasira kwenye mtandao.
Kwa mujibu wa Voz da América [1] [pt], Mamlaka ya Angola ilisema kuwa sababu ya uharibifu ni ujenzi kinyume cha sheria na
Jumuiya ya Kiislamu ya Angola (CISA) inaona kuwa serikali inafanya mateso ya kidini na kuzuia utekelezaji wa ibada ya kidini. Hivyo imerejelea katika maelezo ya video [2] zilizowekwa katika mtanda wa Youtube Septemba mwaka jana na Coque Manuel ambayo inaonyesha msikiti katika mji wa Moxico ikiharibiwa:
A destruição (…) deve ser imediatamente interrompida e exigimos ao Presidente Angola que peça desculpas aos muçulmanos em todo o mundo. Se não, então gostaríamos de convidar a comunidade Islâmica para realizar manifestações pacíficas em frente dos edifícios das embaixadas angolanas em todo o mundo.