- Global Voices in Swahili - https://sw.globalvoices.org -

Udadisi wa Sami Anan

Mada za Habari: Mashariki ya Kati na Afrika Kaskazini, Misri, Harakati za Mtandaoni, Siasa, Uandishi wa Habari za Kiraia, Uchaguzi, Vichekesho

Mwanablogu wa Misri Zeinobia anatoa maoni yake machache [1] kuhusu kuibuka tena kwa Sami Anan, Mnadhimu mkuu wa zamani wa Majeshi ya Misri. Je, ana mpango wa kugombea urais?

Mwanahabari wa Sauti za Dunia Mtandaoni Victor Salama anasimulia zaidi [2].