Mkutano wa hadhara wa mwisho kwa kampeni ya umeya wa chama cha upinzani cha MDM katika Beira ulimalizika kwa watu watatu kuuawa na kadhaa kujeruhiwa – waliojeruhiwa ni pamoja na mwana wa mgombea – kufuatia
Wakati ghasia zinaanza, Meya anayemaliza muda wake Daviz Simango alikuwa anajianda kwenda kwenye jukwaa kutoa wito kwa umati wa watu kupigia kura kwa mara nyingine tena chama kikuu cha upinzani MDM (Mozambique Democratic Movement), ili kishike madaraka ya mji mkubwa wa pili kwa ukubwa nchini Msumbiji, pia mji mkuu wa jimbo la Sofala.
Machafuko katika mji huo wa Beira yalianza Novemba 16, na ya pili siku ya mwisho ya kampeni za uchaguzi kwa ajili ya uchaguzi wa manisipaa nchini Msumbiji. Uchaguzi utafanyika Novemba 20, 2013. @ Verdade gazeti linakusanya taarifa za kiraia katika tovuti maalum kwa ajili ya uchaguzi.
1 maoni