- Global Voices in Swahili - https://sw.globalvoices.org -

Mradi wa Hifadhi ya Papa Nchini Thailand

Mada za Habari: Asia Mashariki, Thailand, Mazingira, Safari, Uandishi wa Habari za Kiraia

Nchini Thailand eShark [1] mradi ulizinduliwa katika mwanga wa taarifa ya kushuka kwa asilimia 95 drop [2] katika kuonekana kwa papa nchini Thailand.

Matokeo ya mradi wa eShark nchini Thailand utatumika kuleta ufahamu kwa kupungua kwa idadi ya papa nchini Thailand. Zaidi ya hayo ili kusaidia kuboresha hifadhi ya ulinzi baharini ya utekelezaji na kuimarisha umuhimu wa kanda zisizostahili kupitwa.