- Global Voices in Swahili - https://sw.globalvoices.org -

Misri: “Morsi Hatarudi Madarakani”

Mada za Habari: Mashariki ya Kati na Afrika Kaskazini, Misri, Siasa, Uandishi wa Habari za Kiraia

Aliyekuwa rais wa Misri Mohamed Morsi hatarudi madarakani, anasema mwanablogu wa Misri Alya Gadi, kwenye mtandao wa Twita. Kuufanya ujumbe wake wazi, ametafsiri kwa lugha mbalimbali:

Mwezi Julai, utawala wa Morsi wa mwaka mmoja ulikatizwa [3], baada ya maandamano makubwa kote Misri kutoa wito ajiuzulu ulioanza Juni 30.