- Global Voices in Swahili - https://sw.globalvoices.org -

Misri katika Harakati za Kujitafutia Makazi

Mada za Habari: Mashariki ya Kati na Afrika Kaskazini, Misri, Mawazo, Uandishi wa Habari za Kiraia

Ni wapi mtu hujisikia kuwa yupo nyumbani? mwanablogu wa Misri Tarek Shalaby atoa maoni yake [1]:

Baadhi ya watu wanasema kuwa nyumbani ni pale palipo na kitanda chake, wengine wanadai kuwa nyumbani ni pale unapoweza kupata mtandao huru wa intaneti. naweza kusema kuwa nyumbani ni pale ambapo mishahara yako imehamishiwa.