- Global Voices in Swahili - https://sw.globalvoices.org -

Iran:Raia wa Mtandaoni Wanane Wakamatwa

Mada za Habari: Mashariki ya Kati na Afrika Kaskazini, Iran, Haki za Binadamu, Harakati za Mtandaoni, Uandishi wa Habari za Kiraia, Uhuru wa Kujieleza, Utawala

Mamlaka ya Iran ilitangaza [1] kuwa raia wa mtandaoni wanane ikiwa ni pamoja na mwanamke mmoja walikamatwa katika Rafsanjan [2], katika Mkoa wa Kerman, kwa madai ya “kutusi utakatifu wa Kiislamu na maadili”.