Mwanablogu aliyefungwa jela,Hossein Ronaghi Maleki [1] anahitaji huduma ya matibabu ya haraka. Alihukumiwa kifungo cha jela cha miaka 15. Laleh alitwiti [2]
Mwanaharakati aliyefungwa jela Hossein Ronaghi yuko katika hali mbaya ya afya, kuvimba figo -(moja haifanyi kazi), kibofu cha mkojo na ugonjwa wa kibofu #Iran [3] #Iranelection [4]
— Lalehلاله (@Lalehsr) Novemba 25, 2013 [5]