- Global Voices in Swahili - https://sw.globalvoices.org -

Iran: Hukumu ya Jela ya Mwanablogu Yapunguzwa Hadi Miaka 17

Mada za Habari: Mashariki ya Kati na Afrika Kaskazini, Iran, Haki za Binadamu, Uandishi wa Habari za Kiraia, Uhuru wa Kujieleza

“Haki kwa Hossein Derakhshan” blogu ilitangaza [1] mnamo Oktoba 16, 2013 kwamba mamlaka ya Iran imepunguza kifungo cha jela cha mwanablogu wa Iran Hossein Derakhshan [2] (pia anajulikana kama “Hoder”) hadi miaka 17 kutoka miaka 19.5 Derakhshan alikamatwa [3] mnamo Novemba 1, 2008.